Friday, July 25, 2014

RAIS KIKWETE AMWAPISHA MHE SHABAN ALLY LILA KUWA JAJI KIONGOZI

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Shaban Ally Lila kuwa Jaji Kiongozi Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Shaban Ally Lila kuwa Jaji Kiongozi Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014. Kushoto ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye nyaraka baada ya kumwapisha  Mhe Shaban Ally Lila kuwa Jaji Kiongozi Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
    Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Jaji Kiongozi Mpya Mhe Shabn Ally Lila na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Naibu Waziri wa Sheria Mhe Angellah Kairuki (kulia), Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) , Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman (wa tatu kushoto)  na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu wa pili kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
    Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Shaban Ally Lila na familia yake baada ya kumuapisha kuwa  Jaji Kiongozi Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Shaban Ally Lila na majaji wa Mahakama ya Rufani baada ya kumuapisha kuwa  Jaji Kiongozi Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
    Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Shaban Ally Lila  majaji wa Mahakama kuu baada ya  kumuapisha kuwa  Jaji Kiongozi Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Shaban Ally Lila  majaji wa Mahakama kuu baada ya  kumuapisha kuwa  Jaji Kiongozi Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Shaban Ally Lila  maafisa waandamizi  wa Mahakama kuu baada ya  kumuapisha kuwa  Jaji Kiongozi Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Shaban Ally Lila pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya  kumuapisha kuwa  Jaji Kiongozi Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Shaban Ally Lila pamoja na  Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman ( kushoto)  na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu wa pili kulia) na Majaji Viongozi wastaafu Jaji, Fakihi Abdallah. Rheno Jundu (wa pili kushoto) na Jaji Amiri Ramadhani Manento baada ya  kumuapisha kuwa  Jaji Kiongozi Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Jaji Kiongozi Mpya Mhe Shabn Ally Lila na Waziri Mkuu Mizengo Pinda Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman (wa tatu kushoto)  na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu (wa kwanza kushoto) na Jaji Kiongozi mstaafu  Fakihi Abdallah. Rheno JunduIkulu jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapanga  Waheshimiwa ili ku[ata picha nzuri na Jaji Kiongozi mpya Mhe Shaban Ally Lila. Picha na IKULU

No comments: